Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nguli wa muziki nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi amefariki dunia, magazeti nchini Zimbawe na Afrika Kusini yameandika kuwa Mutukudzi amefariki tarehe ambayo alifariki gwiji mwingine wa muziki Hug Masekela mwaka uliopita akijiandaa kutoa albamu yake ya 67. #RIP OLIVER MTUKUDZI
RIP MUTUKUZI
Nguli mwingine amepotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jioni jioni
FB_IMG_1548263245073.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom