Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

William Gallas

na Kolo Toure

Ugomvi wa walinzi hawa wa zamani wa Arsenal ulikuwa mkubwa kiasi hawakuwa wanaongea hata uwanjani ingawa nafasi yao iliwapasa wawe wanaongea mara kwa mara kwa ajili ya kukumbushana majukumu. Inasemekana chanzo cha ugomvi wao kilitokana na Gallas kukaa katikati ya uwanja akigoma kuangalia penalti iliyokuwa inapigwa katika lango la Arsenal. Hata hivyo, Toure anadai kulikuwa na chanzo kingine kikubwa zaidi. Staa huyu wa Ivory Coast aligoma kusema chochote huku akidai “Kama tukianza kuongelea kuhusu hilo nadhani itakuwa habari kubwa”.
 
Zlatan Ibrahimovic na Rafael Van Der Vaart

Angekosekana vipi Zlatan katika suala hili? Ugomvi na staa mwenzake wa Ajax, Van Der Vaart ulisisimua sana. Wawili hawa walikuwa wanakipiga pamoja katika klabu ya Ajax wakati walipokumbana katika pambano la kimataifa la kirafiki kati ya Uholanzi na Denmark.
 
Ndani ya mechi hii Ibrahimovic alimchezea rafu Van Der Vaart na staa huyu wa Uholanzi alidai Ibrahimovic alikuwa amemchezea rafu kwa makusudi. Baadaye Zlatan aliibuka katika kitabu cha maisha yake akisema ‘Alidai katika magazeti nimemuumiza makusudi. Ujinga gani huu?”
 
Mahakama hiyo ilimuhukumu Ronaldo kifungo cha miaka miwili ambacho muda mfupi baadaye kilipunguzwa na kuwa faini ya euro 365,000, ambayo inaongezewa katika faini nyingine ya euro 3.2 milioni, kwa mujibu w ahukumu hiyo.
 
Msemaji wa mahakama alisema haikuweza kufahamika mara moja kama faini hiyo itaongezewa katika euro 18.8 milioni ambazo Ronaldo alikubali kuilipa mamlaka ya kodi ya Hispania katika makubaliano yaliyofikiwa Juni mwaka jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…