Hivi ka mwaka kashafika eeh?Valentine dayyyyy cant wait to see 1st anniversary ya black rose[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vyuma vimekaza Mkuu! [emoji1][emoji1]
Work? .. dont know tryin to connect what the photo meant..Too much Internet??
Nilijua wasukuma hizi mambo waliacha mwaka jana kumbe bado zinaendelea
Hahahahaha [emoji16][emoji16]Exactly halafu unasahau kila kitu yaani hata hizi likes mtu unaziona ngeni na kuwashangaa malengend utakaowakuta humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuachiwa wapi tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeachiwa carba??
Kwema mzee mwenzangu,habar yako?
Nilitega bhana, mwalimu anachapa sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Why ?
Kuacha hz mambo hadi waache [emoji116]Nilijua wasukuma hizi mambo waliacha mwaka jana kumbe bado zinaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitekwa ukanyimwa hadi nywila[emoji23][emoji23]Kuachiwa wapi tena?[emoji23]
Alhamdulillah kwakweli,habari ya majukumu?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo sijui kama itawezekanaKuacha hz mambo hadi waache [emoji116]
[emoji125][emoji125]View attachment 1003068
Usiku lazima tule tushibe, maana shughuli zilizopo ni nyingi sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unajua kuna mzee mmoja amesema tufyatue tu yaliyobaki tumwachie yeye.Usipende kula usiku sana
Bhana weee,acha tu.Ulitekwa ukanyimwa hadi nywila[emoji23][emoji23]
Tupo salama,majukumu tunapambana nayo mdogomdogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuwazoee tu hawa ndugu zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo sijui kama itawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app