Sawa sawa,ukishikwa shikamanaBhana weee,acha tu.
Wenyewe wanasema ukishikwa shikamana[emoji23][emoji23][emoji23].
Nashukuru kama uko salama
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP MUTUKUZINguli wa muziki nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi amefariki dunia, magazeti nchini Zimbawe na Afrika Kusini yameandika kuwa Mutukudzi amefariki tarehe ambayo alifariki gwiji mwingine wa muziki Hug Masekela mwaka uliopita akijiandaa kutoa albamu yake ya 67. #RIP OLIVER MTUKUDZI
Shukran ndugu yangu[emoji120][emoji120]Sawa sawa,ukishikwa shikamana
Ok,karbu tena
Urafiki upo ila lazima uende mbele zaidi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mmm Si mnasema hamna urafiki kati ya me na ke
Bro kasema wakongo hao
Mkuu, hawa TTB inabidi wakuweke kwenye Payroll yao aisee! Unawawakilisha uzuri sana!
Hahaha wamuachie nani hizo swaga adimuNilijua wasukuma hizi mambo waliacha mwaka jana kumbe bado zinaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka ushakatika maumivy yapo pale pale halafu dada wa kenya nae haeleweki baasi tabu tupuHivi ka mwaka kashafika eeh?
Ila tuko na kale kadada kengine ka kenya bhana tunapunguza maumivu.
Ha wa yuu shosti[emoji137]
Sent using Jamii Forums mobile app