Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WAKATI mwingine mambo huwa hayaendi sawa ndani ya timu. Wachezaji wawili wanajikuta katika uhusiano mgumu na ufikia wakati huwa hawaongei kabisa kwa sababu tofauti za ndani na nje ya uwanja. Wafuatao ni baadhi ya mastaa ambao walicheza timu moja lakini hawakuweza kupiga stori baada ya kutofautiana. Kiburi kinatamalaki.
 
Robot hilo limepewa kazi ya kutimiza majukumu kadhaa kama ilivyo kwa makocha binadamu kama vile kuzungumza na waandishi wa habari kabla na baada ya mchezo, kusoma mbinu za timu pinzani na kutoa tathmini ya mechi.
 
Meneja wa Wingate &Finchley, Dave Norman amedai kuwa wana imani kubwa watapata mafanikio kutokana na utendaji kazi wa Al na hawana hofu yoyote
 
MFAHAMU NYANGUMI.
Nyangumi ndiyo wanyama mkubwa kuliko wanyama wote waliopo duniani, kimsingi wanyama hawa wamegawanyika katika aina mbalimbali lakini wote huitwa nyangumi, katika makala hii nyangumi nitakayemzungumzia ni nyangumi anayefahamika kwa jina la kisayansi kama Balaenoptera musculus ambaye ndiye mkubwa kuliko nyangumi wote na ndiye mnyama ambaye ukubwa wake haujawahi tokea wala kufanana na mnyama mwingine yoyote hata ambao wamekwisha toweka duniani, mnyama huyu ni mnyama anayeishi majini na chakula chake kikuu ni nyama ambapo huwatumia dagaa kamba ambao huwakamata kiurahisi wawapo katika makundi, makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…