Yeah hizo post zilizogeuzwa uzi niliziweka jana humu likes,katika pitapita hoja na habar mchanganyiko nikaona uzi wa kamari nikazitupia na kusepa leo nashangaa kuona notification za likes kufungua nshamilikishwa ka uzi mazimaHeh,umebambikiziwa uzi,mm nachek hata sielew,naona chenga tu
Hahahah nisamehe bro,haka kazaramu kakija huwa kana kuja na nguvu flan hv,nashindwa jizuia,,
Huko Mwanza,,nipo karbun kwenda na mm nasubiria mwaliko kutoka kwa binti mpole Numbisa