Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah hizo post zilizogeuzwa uzi niliziweka jana humu likes,katika pitapita hoja na habar mchanganyiko nikaona uzi wa kamari nikazitupia na kusepa leo nashangaa kuona notification za likes kufungua nshamilikishwa ka uzi mazima
Wameona unadandia tu nyuzi za watu wakaona wakumilikishe uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa!!!
20190124_143756.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom