Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uniq nasikia kapiga wani ya pointi saba. Kongaratyuilesheni shemeji [emoji122][emoji122][emoji122]hongera wa kusoma
Uniq nasikia kapiga wani ya pointi saba. Kongaratyuilesheni shemeji [emoji122][emoji122][emoji122]hongera wa kusoma
Hahaha pole sana aiseeYeah hizo post zilizogeuzwa uzi niliziweka jana humu likes,katika pitapita hoja na habar mchanganyiko nikaona uzi wa kamari nikazitupia na kusepa leo nashangaa kuona notification za likes kufungua nshamilikishwa ka uzi mazima
Hahaha ngoja nifanye mchakato aisee,maana kanipa mwaliko wa kwenda MwanzaSawa bro....
Uende MZA halafu umkamate Esta. Siku hiyo Gold Crest patachimbika bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wametoka povu hatari hukoBro kasema wakongo hao
Shostiii nikadhan upo kwenye mnada wa lulu cheeeeiii zile bei daah
Ile rose bado inatuvuruga shost.Mwaka ushakatika maumivy yapo pale pale halafu dada wa kenya nae haeleweki baasi tabu tupu
Amfaini shosti,za muadimikooo?i
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasukuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1003098
Wacha wee,ugumu wote kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It wasn’t seriously then, now iko pure and natural. Kuhusu uzinduzi tutaangalia kama kuna sababu ya kuifunza jamii tutafanya hivyo
Mnuso Mungu ibariki utakuwepo Bro huwezi kukosa najua unafurahia mimi ndugu yako kufanikiwa pamoja sana, Big Bro
Shwari tunamalizia january ndeefu kuliko zote
Hahaha sio kwa bei zile napo anasema kauza nusu bei sijui bei halisi zitakua zilinunuliwa kwa sh ngap daah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahaha aiseeee wamenikomeshaWameona unadandia tu nyuzi za watu wakaona wakumilikishe uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app