Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

11. Akiwa katika hali mbaya hutia sana huruma, kama una roho ndogo kwa vyovyote utamuacha tuu, na hapa ndio ulizaliwa msemo ya kwamba ukitaka kumuua nyani usimtizame usoni kutia huruma tuu hawajambo, utamsamehe hata kama ameharibu nusu ya shamba lako.
 
12. Ana njia mbili za kuacha na mwanaye akajitegemee, mosi husubiri mpaka pale anapoonyesha dalili zote za kupevuka, pili hufanya majaribio ya mara kadhaa kutaka kujua amefikia wapi ambapo huchukua nafaka na kuchanganya na mchanga kisha humpa mtoto wake, kosa atalo fanya mtoto huyo ni kama atajaribu kutaka kutenganisha mchanga na nafaka hizo, basi mama yake atapiga mpaka mtoto akimbie, na akikimbia tuu ndio wameachana kuanzia siku hiyo.
 
13. Ni kiumbe ambaye wanapokutana kimahaba jike na dume huweza kutekeleza mahaba yao kwa kiasi na ufundi ule ule ambao binadamu huutumia, wakitaka watizamane, wasionane inawezekana tuu.
 
14. Ni viumbe wasio waaminifu katika mapenzi, pamoja na kumiliki majike zaidi ya mmoja na majike kumilikiwa lakini bado huweza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwenzie yoyote nje ya kambi yao.
 
16. Kuna msemo usemao siku ya kufa nyani miti yote huteleza, pasina mashaka yoyote ni wazi aliyebuni msemo huu atakuwa alikuwa ni muwindaji, nyani anapokimbizwa na akachoka ufanisi katika kuparamia miti hupungua kwa kiasi kikubwa sana, hali ambayo hupelekea kuanguka anguka sana anapoendelea na jitihada za kutaka kujinasua na hatari iliyopo mbele yake.
 
#kwa_taarifa_yako si unasikiaga kwamba ukimwi ulitokana na binadamu kufanya ngono na nyani, basi si nyani huyu anayezungumzwa huyu bwana jina lake limebebeshwa tuu hiyo kesi, kiumbe anayehusishwaga na saga hilo ni bwana sokwe ambaye katika jamii za viumbe hawa yeye ndio mkubwa zaidi kuliko wote na mwenye ufahamu mpana sana.
 
Heh,umebambikiziwa uzi,mm nachek hata sielew,naona chenga tu
Yeah hizo post zilizogeuzwa uzi niliziweka jana humu likes,katika pitapita hoja na habar mchanganyiko nikaona uzi wa kamari nikazitupia na kusepa leo nashangaa kuona notification za likes kufungua nshamilikishwa ka uzi mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…