Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha bana ni jinsi mwenyewe unavyoi tune akili yako aisee! Hawa watu wana raha na furaha kuliko hata watu wenye mabilioni ya dollars!
Unanikumbusha zamani ambapo niliamini nikiwa na nyumba tena daslamu halafu na gari, basi nitakuwa nalala muda wowote na nakula chochote, yaani kuzurura tu. Kumbe maisha ya huku ni shida sana, jamaa zangu kijijini nawaona wanafurahia maisha kwa pombe zao za kienyeji. Hawawazi kusomesha Baobab wala Feza sec sc.

Yote maisha lakini....

Habari za majukumu kiongozi, mnaendeleaje huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…