Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*He knows when your period ends but*
*he doesn’t know your birthday?*
*My sister is your boyfriend a medical doctor?*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85]
 
5.Swansea- mara 3, mechi 8

Swansea City wanaenjoi sana wanapokwenda kucheza Emirates kwenye mechi zao za Ligi Kuu England. Wababe hao wa Wales kabla ya kushuka daraja wakati huo na kisha kurudi tena Ligi Kuu England, walikuwa na straika wao matata kabisa, Michu, ambaye alikuwa moto kwenye kuwatesa Arsenal kwa kuwafunga nyumbani na ugenini. Swansea ni moja ya timu ambazo zimekuwa zikiitesa sana Arsenal inapokuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani. Katika mechi nane, Swansea City iliyokwenda kumenyana na Arsenal kwenye uwanja huo wa Emirates, imeshinda mara tatu. Aston Villa nao wameshinda mara tatu uwanjani Emirates katika mechi 11.
 
4.Bayern Munich- mara 3, mechi 4

Miamba ya Bundesliga, Bayern Munich hakika ndio wababe wa Arsenal inapokuja kwenye mechi wanazokutana nao kwenye michuano ya Ulaya.

Kwenye rekodi zao, Bayern na Arsenal zimekutana uwanjani Emirates mara nne na kitu kinachotisha ni kwamba kwenye mechi hizo, mwenyeji ambaye ni Arsenal wamefungwa mara tatu.

Hii ni rekodi bora kabisa ambayo Bayern Munich wameweka kwenye kushinda mechi zake katika uwanja wa Arsenal kuliko timu nyingine yoyote. Kitu hicho kinawafanya Arsenal kuwa na uwoga kwamba, inapokumbana na Bayern uwanjani Emirates, basi asilimia 75, Arsenal anachapwa kwenye mechi hiyo licha ya kwamba atakuwa yupo kwenye uwanja wake wa nyumbani.
 
*Apart from teremka kidogo nisigongwe kichwa na bed?? what other motivational quotes do u know*???[emoji23][emoji276]
 
3.Man City- mara 4, mechi 14

Manchester City wameshinda mara nne katika mechi 14 za mwisho walizokwenda kumenyana na Arsenal uwanjani Emirates. Stori ya mechi za Man City na Arsenal imekuwa tofauti baada ya wababe hao wa Etihad kuchukuliwa na tajiri wa Kiarabu, Sheikh Monsour mwaka 2008.

Tangu wakati huo, Man City imeanza kuonyesha ubavu na kushinda inapocheza na Arsenal si tu kwenda uwanja wao wa Etihad, bali imekuwa ikipata matokeo pia hata ilipokwenda Emirates. Na sasa wababe hao wakiwa chini ya kocha Pep Guardiola, uwezo wao wa kushinda kwenye mechi yoyote iwe ugenini au nyumbani umekuwa mkubwa zaidi.
 
2.Chelsea- mara 5, mechi 15

Chelsea walichapwa na Arsenal uwanjani Emirates wiki moja iliyopita huko. Hiyo ina maana kwamba Arsenal sasa haitakuwa na wasiwasi wa kuwaogopa wapinzani wao hao wa London.

Lakini, kipindi hicho wakati Chelsea ilipokuwa na huduma ya straika Didier Drogba, Arsenal walikuwa wachovu sana walikuwa wakifungwa tu kirahisi. Hata hivyo, Chelsea bado inaingia kwenye rekodi ya kuwa moja ya timu zilizopata ushindi mara nyingi zilipokwenda kucheza na Arsenal uwanjani kwao. The Blues imeshinda mara tano katika mechi 15 zilizochezwa hivi karibuni.
 
My brother I'm sorry to let you know that your girlfriend has already been in that car you keep calling "Your dream car" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.Man United- mara 6, mechi 14

Manchester United Ijumaa iliyopita tu hapo waliichapa Arsenal 3-1 uwanjani kwao Emirates kwenye mechi ya Kombe la FA. Hakika matokeo hayo yamewaumiza sana Arsenal wanaonolewa na Unai Emery na kuendelea kuwa wateja wa wababe hao wa Old Trafford wanapokumbana nao. Ukweli ni kwamba Man United wamekuwa wakijipigia tu Arsenal kwenye uwanja wao wa nyumbani. Katika mechi 14 za mwisho Arsenal alizocheza uwanjani Emirates, Man United imeshinda mechi sita ikiwa ni rekodi tamu kabisa kwao.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…