carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ina maana baraka naye ana danga siku hizi??Msanii wa muziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amedaiwa kuelekeza chini ya ulinzi siku ya Jana kwa kile kinachotajwa ni utapeli ambao Msanii ameufanya. Siku ya jana kuna video ilisambaa kwenye Mitandao ya kijamii iliyomuonyesha Barakah akiwa anabishana na maaskari ambao walikuwa wanamkamata na mara moja ilisemekana aliwekwa chini ya ulinzi na kupelekwa kituoni. Stori za chini ya kapeti zinadai kuwa Barakah aliokuwa polisi Baada ya kudaiwa kufanya utapeli ambapo inadaiwa alimtapeli mdada mmoja kiasi Chan shilingi milioni tano kwa ahadi ya kumpa Penzi Lakini Baraka aliishia kuchukua pesa hiyo na kununua gari. Ulipofika muda wa kumpa Penzi mdada Yule ambaye alikuwa amemzimikia msanii huyo alimpa taarifa kuwa yeye hawezi kuwa naye kimapenzi kwa kuwa yupo na Mpenzi Wake Naj, taarifa hizo zilimvuruga mdada huyo ambaye alihisi ametapeliwa kwani aliishia kumuitia polisi ambao walimtia Ndani.
Wanaume wameshaisha ama wako ukingoni kuishaSijui nitakuwa sijaelewaa?!!! Yaani konokono plasi milioni tano? Niache konokono nichukue milioni 5? Ili iweje? Yaani vimilioni vitano viwe vitamu kuliko konokono? Haki ya nani dunia imeshaishiwa na kundi la wavulana.
Huyo binti anatumia kigezo gani (mimi mwenyewe mweusi kama huyo fala) kutongoza?
Tafadhali Anko nipo kwenye uhitaji wa "konokono" anaeliwa huku mlaji akipongezwa na vinoti noti vya mafungu... Niunganishe nae kama una mfahamu... Pulizzzz ankoo [emoji120][emoji120]
Umenifanya nikumbuke uzi mmoja hivi mmu kuna mtu alisifiwa ana mapafu ya mbwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo kule mbali bana wee kama unataka konokono wa kumwaga leta mchongo ujionee MMU kila siku misifa kibao,mistaili kama yote,mipicha picha mistory ya uongo na kweli wacha wee kwa makonda patafurikaje mpaka utaanza piga kufuli na kukataa mahela kama baraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu ni komeshaUmenifanya nikumbuke uzi mmoja hivi mmu kuna mtu alisifiwa ana mapafu ya mbwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anipe tenda ya kumsifia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
duh!! hatari sana
Hela ngumu jaman daah kahongwa kanunua gari na uji kagoma kitoaIna maana baraka naye ana danga siku hizi??
Wanaume wanazidi kuisha walah
Sent using Jamii Forums mobile app
jirani!!!!
Gigy na tarzan bana sijui nani mshauri wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi nguo nyingine tuwaachie tu wale wenye chuchu kitunguu ama wale wa small boobs kama chunusi
[emoji124][emoji124][emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anko alivyosema kwa faida ya ukoo rest well[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo hali tete huku Mbagala Esther. "Maombi" yako yanahitajika. Byeeeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]