Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1548612125872.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa uzi wa like nafurahi kuwataarifu usiku wa jumanne iliyopita nilibarikiwa kupata mtoto wa kike kwa njia ya operation.

SHIMBA YA BUYENZE
moudgulf
Numbisa
myoyambendi
Bradha
capitalpool
ningendako
andjul
carbamazepine
hearly
Fragaria
ISIS
Atikinson
ho chi minh
Marvelous King
consuela

Ooooh Good News indeed !!!. Natumaini kuwa unaendelea vyema pamoja na hako kabinti ketu kamalaika. Kongaratyuleisheni na asante sana kwa kutushirikisha. Mungu ni Mwema !!! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom