Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
MNIKOME KABISA. Gwiji wa muziki wa Rn’B duniani na aliyeteka watu wengi kutokana na mikwaju yake mitamu “Celine Dion” amepatwa na kisanga cha vazi, na kupelekea kuondoka katika hoteli "Crillion hotel" baada ya watu kumzodoa na vazi lake. Kwa upande wa mwanamuziki huyo alisema anahitaji kuwa imara, mrembo na muonekano nadhifu,pia hakupenda kuzungumzia suala hilo wala kuchukuliwa picha kwa sababu ana amini urembo umekuwa sehemu ya maisha yake na kama hutaki mwache (Leave me alone)..! Kwa sasa Celine Dion ameonekana kupungua kimwili hivyo inamlazimu kubadili mavazi ili yaweze kukaa vyema kwenye mwili wake….