moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji122]
Wooow Beef!!Wadau wa uzi wa like nafurahi kuwataarifu usiku wa jumanne ya wiki iliyopita nilibarikiwa kupata mtoto wa kike kwa njia ya operation.
SHIMBA YA BUYENZE
moudgulf
Numbisa
myoyambendi
Bradha
capitalpool
ningendako
andjul
carbamazepine
hearly
Fragaria
ISIS
Atikinson
ho chi minh
Marvelous King
consuela
Hongera saaaaana. Mungu awape baraka zakeWadau wa uzi wa like nafurahi kuwataarifu usiku wa jumanne ya wiki iliyopita nilibarikiwa kupata mtoto wa kike kwa njia ya operation.
SHIMBA YA BUYENZE
moudgulf
Numbisa
myoyambendi
Bradha
capitalpool
ningendako
andjul
carbamazepine
hearly
Fragaria
ISIS
Atikinson
ho chi minh
Marvelous King
consuela
Hahahaha aisee,furaha yake yy ni kuurusha rusha tuKweli 😀😀😀😀😀
Kuna mmoja alikua ananitania eti siku akiupewa kwa siku moja tuu atashinda anaurusharusha😀😀😀😀
Woow! Hongera sana mumyWadau wa uzi wa like nafurahi kuwataarifu usiku wa jumanne ya wiki iliyopita nilibarikiwa kupata mtoto wa kike kwa njia ya operation.
SHIMBA YA BUYENZE
moudgulf
Numbisa
myoyambendi
Bradha
capitalpool
ningendako
andjul
carbamazepine
hearly
Fragaria
ISIS
Atikinson
ho chi minh
Marvelous King
consuela
Akikosea akautumia kuonjea konokono kamwe hataurudisha kwa mwenyewe aliyemwazima [emoji16][emoji16][emoji16]...Hahahaha aisee,furaha yake yy ni kuurusha rusha tu
Asante 😍😍
Amin 🙏🙏🙏🙏Hongera saaaaana. Mungu awape baraka zake
Naendelea vizuri Mimi na kababy nakunywa mitori nashushia na like 😂😂😂😂😂😂😂😂Wooow Beef!!
Hongera sana aisee kwa kutuletea mrembo,hope mnaendelea vizuri huko
Asante Sana.Ooooh Good News indeed !!!. Natumaini kuwa unaendelea vyema pamoja na hako kabinti ketu kamalaika. Kongaratyuleisheni na asante sana kwa kutushirikisha. Mungu ni Mwema !!! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante Sana tuko 👍👍👍 woteAisee, hongera sana dada.
Nimefurahi sana kuwa umewaza kutushirikisha hili.Natumaini mama, mtoto na baba wote mnaendelea vizuri.
Wishing you the best!!
Hahahaha aiseeeKweli 😀😀😀😀😀
Kuna mmoja alikua ananitania eti siku akiupewa kwa siku moja tuu atashinda anaurusharusha😀😀😀😀