Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Robert Lewandowski (Bayern Munich)
Kama ilivyo kwa Gotze na Hummels, Lewandowski naye alifuata njia ile ile ambayo ilimfanya awe Yuda mbele ya mashabiki wa Dortmund. Yeye alihamia kwa wapinzani wao Bayern Munich kwa uhamisho wa hasira zaidi. Uhamisho w bure. Aligoma kusaini mkataba mpya na akaenda zake Bayern Munich kupokea mshahara mnono zaidi.
Ametwaa mataji manne ya Bundesliga huku akiwa amefunga mabao 173 katika mechi 219. Hapana shaka Bayern walifanya biashara nzuri kwake.