Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera sana BL, Mungu akampe afya njema Anko wangu na maisha marefu. Naamini mpaka mwaka 2021 uzi wetu bado utakuwepo nae atakuwa ameanza kukandamiza "milaiki" kwa niaba yako.
Hongera sana tena....
Kizushi tu ngoja nikaangalie post zako za mwaka jana mwezi Aprili mwishoni maana ilikuwa ni kipindi cha "kilimo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ilikuwa ni mwendo wa "parachichi" na konokono" jua lenu giza lenu... Hatimaye umevuna mama.
Kama hautajali, kwa upendo tu kwa Anko wangu, nionyeshe njia ya kumpitishia salamu yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee wewe khaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I feel you bro!![emoji26][emoji26]
20190130_212641.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimo mama... Kilimooo....
Kilimo ni mazoezi ya mgongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nasubiri ningendako naye atushirikishe maana alisema ana"lima" shamba lake[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No.123 Ya 2016

Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Makario bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
*No stories...*



KUNA WATU HAPO WAZAZI WAO WATAAMBULIA BUKU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Interesting..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa uzi wa like nafurahi kuwataarifu usiku wa jumanne ya wiki iliyopita nilibarikiwa kupata mtoto wa kike kwa njia ya operation.

SHIMBA YA BUYENZE
moudgulf
Numbisa
myoyambendi
Bradha
capitalpool
ningendako
andjul
carbamazepine
hearly
Fragaria
ISIS
Atikinson
ho chi minh
Marvelous King
consuela
Hongera sana
Beef Lasagna, Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema wewe na bint yetu mpendwa.
Natoa shukrani kwako kwa niaba memba wote hapa kwa kuonyesha kutujali ndugu zako kiasi cha kuona umuhimu wa kutupa taarifa hii muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom