Hahahahaha dah,,nmecheka sana baada ya hii kauli ya anko,,aisee kwamba nalima mahindi halaf kwenye mavuno napata korosho hahahKatakuwa kanaparua parua tu, umri ninge bado sana... Wanawake hawana huruma, wanaweza kukalimisha ka ninge na kwenye mavuno kakashirikishwa... Kalilima mahindi kanashirikishwa kuvuna korosho na katachekelea mavuno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwema ninge...Hahaha anko,,hahaha
Kwema anko,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwema ninge...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijali sana Anko, wewe lima sisi ving'amuzi tupo, tunakagua unyayo hadi nywele za mtotoHahahahaha dah,,nmecheka sana baada ya hii kauli ya anko,,aisee kwamba nalima mahindi halaf kwenye mavuno napata korosho hahah
Pambana Anko, Mungu hatakuacha uteseke bure, mtegemee kwa kila hatua.Kwema anko,
Habar ya uzima?ndugu zangu wazima huko??
Bado napambana na mashamba huku,nami nivune