Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jamaa ana duka kariakoo mke wake ndio msimamizi na muuzaji dukani. Alipewa habari kwamba kuna kijana hua anakuja akija wife na dogo wanafunga duka kama saa nzima wakiwa huko ndani. Jamaa akaweka camera ya siri. Daaah alichoona kidogo ajiue
 
πŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Si unaletewa korosho baada ya kupanda mahindi kisha unamzuia anko kufanya ukaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] yote ni mazao tu,,hicho kipimo anachokuja nacho ankoo kufanyia ukaguzi kimethibitishwa na nani??

Hahahaha
Haya ndio yale mambo huwa nasikia,mtu kapata mtt anakuja shangaz mtu au bibi mtu anakibeba kile kichanga bhasi utakuta anakinyanyua juu,mara anakigeuza hv mara vile,yote hiyo et anatafuta alama,,,akijiridhisha utasikia anasema mje mmlete mjukuu wangu nimchinjie mbuzi,ujue hapo kajiridhisha
Ikiwa hajaridhika hakawii kuaga na kujifanya anawahi sehem kuna mtu anaenda kumuona hahahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama wale smaki bungeni walipimwa kwa rula so anko hana haja ya kuleta vidhibitisho vya kipimo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko apambane na hali yake tu,,kwangu zao ni zao tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…