myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
sina uhakika. weka likes tuone......Nahisi huu ndio uzi pekee hapa jf ambao una comments na likes nyingi kuliko uzi wowete ule
😀😀😀 tayari nipo Dar bro sema tu harakati zinabana sanaNa mdogo wetu Davet amekwama Mwanza. Mlioko Mza hakikisheni huyu dogo anarudi kwenye uzi pulizi. Gold Crest kuna WiFi kali sana na hana sababu yo yote ya kutoingia hapa kula likes [emoji16][emoji16][emoji16]
hahahah sawa bhana, vipi uko poa?Hii ndo rock city bana unakuja na mitisheti yako ya maana unabadilishiwa kwa mashati ya vitenge Davet hope upo poa hahahha zile jeand mikato sijui michaniko ziko bomba bana usirudi dar na surual za vitambaa kama za ankooooooo andjul
i miss our dia biblia View attachment 1004929
Karibu tena bro. Tumeaminishwa humu kuwa eti umekwama MZA tena mitaa ya Nyegezi na kona kona za Bwiru huko. Tumshukuru Mungu bro[emoji1545][emoji1545][emoji1545]😀😀😀 tayari nipo Dar bro sema tu harakati zinabana sana
Ni New Orleans hii ama?
muhimu kutazama ya nyuma nijue naanzia wapi bro, kwema?Hahaha unafukuwa makaburi bro
Hahahah hizo ni skendo tu bro, me nipo mjini kitambo sana,,,,Karibu tena bro. Tumeaminishwa humu kuwa eti umekwama MZA tena mitaa ya Nyegezi na kona kona za Bwiru huko. Tumshukuru Mungu bro[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Skendo muhimu maishani....Hahahah hizo ni skendo tu bro, me nipo mjini kitambo sana,,,,
Asante sana bro, kwema huko?
ni mtihani mgumu sana...Wameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578