Heheheh basi itakua ndio huko huko maana kuna sehemu ya starehe ipo barabarani mkono wa kushoto ukiwa unaenda mjini, walijazana kama nyuki kwenye mzinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu huko na wewe eti nguo sare sare. Hio sehemu itakua ni buhongwa au mkolani maana zipo jiran na nyegez na ndio kuna nyomi la watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atashtuka bana kumbe keshaziona kona zoooteeEeh,,nenda nae hv hv ,,ww ulitaka umpeleke haraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]taratbu atasema
Itakua mkolan maana kuna mnada kila jumanne. Kama sio basi ni buhongwa pale kuna soko changanya mnada hapo hapo.Heheheh basi itakua ndio huko huko maana kuna sehemu ya starehe ipo barabarani mkono wa kushoto ukiwa unaenda mjini, walijazana kama nyuki kwenye mzinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee,nyie vijana mnachokitafuta mtakipata,,screenshot ztakuja hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ndio maneno bro,,lazima ufike kona ya bwiru bhana,,,Sikumbuki vizuri bro ila nahisi nilipita siku natoka huko Busisi nikienda Buzuruga, nakumbuka nikaambiwa ndio Mall kubwa zaidi ata Mlimani City
Hapana bro hahahaHahah mnanichora sio?
BREAKING: Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameagiza vyombo vya usalama kumchunguza, harmonize_tz kama anatumia bangi au lahh! ili achukuliwe hatua za za kisheria.Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Zaamaan na picha ipo tukupe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah mnanichora sio?
KikiBREAKING: Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameagiza vyombo vya usalama kumchunguza, harmonize_tz kama anatumia bangi au lahh! ili achukuliwe hatua za za kisheria.
Ikumbukwe kuwa Mkuu huyo wa Mkoa ni Mlezi wa WASAFI inayoongoozwa na Diamond Platinumz ambayo Harmonize ni moja ya member wa kundi hilo. View attachment 1009638
Ikumbukwe 01 Jan ni siku ya sikukuu hivyo haikua mnada au soko ni kieneo fani hivi cha starehe yaani kimuonekano ni pazuri sana ,mixer garden niniItakua mkolan maana kuna mnada kila jumanne. Kama sio basi ni buhongwa pale kuna soko changanya mnada hapo hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et walijazana kama nyuki kwenye mizinga [emoji23][emoji23][emoji23]Heheheh basi itakua ndio huko huko maana kuna sehemu ya starehe ipo barabarani mkono wa kushoto ukiwa unaenda mjini, walijazana kama nyuki kwenye mzinga
Zote kaziona aisee,,Mwanza tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atashtuka bana kumbe keshaziona kona zoootee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge bana kijana keshakwepa mtego alipotaja buzuruga tu keshaharibu matumaini ka kufika kona ya bwiru. Ila mabatini hawez kwepa na picha alipiga huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ndio maneno bro,,lazima ufike kona ya bwiru bhana,,,
Vp ulipaonaje kona ya bwiru bro?hutaman tena kufika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mf.mm nikienda Mwanza,kona ya bwiru ntafanya juu chini nifike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti bana mwanza nzima kataja Nyegezi tu daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zote kaziona aisee,,Mwanza tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemiss kutyp so twendeni tuZaamaan na picha ipo tukupe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana mjanja huyu,kakwepa mtego,,ila tungeanza naye taratbu alikuwa anaelekea huko sema katuchanganyia habar na mambo ya buzuruga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge bana kijana keshakwepa mtego alipotaja buzuruga tu keshaharibu matumaini ka kufika kona ya bwiru. Ila mabatini hawez kwepa na picha alipiga huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]