Whati izi disi? Ni photoshop? Ni mekapu imegoma? Ni vyuma vimekaza? Ni uhenga? Ni nini?
Hahahahhaha nimeonaaaInabidi asiione hii Binti Mpole
2020 hiyoooo. Tuombe uzima tufike tuone vimbwanga vya wanasiasa tena [emoji16][emoji16][emoji16]
ahahahahahaha carba bana mwaka huu sitekwi kha ule mwaka nilipitwa na ubuyu wa ua jeusiMfyuuu zako[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo penyewe wasubiri utekwe wiki zako 2 ukanywe uji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunye ni kilainishi cha roho, mwili na akili. Falme nyingi zilishaanguka. Vita vingi vilishapiganwa. Koo na falme nyingi hasimu zilishaungana. Mashujaa hodari wengi walishaangamia... sembuse bro wangu mlaini huyu? Hata kapoti siku kakikamatika utafikiri siyo kenyewe japo nadhani kwa jinsi kalivyo kabishi hakatakiri hadharani. Hiyo kitu ndiyo inayoendesha dunia na ndiyo lengo kuu la mwanaume rijali tangu anapoamka asubuhi na kuamua kujisopusopu kwa kuji-groom vizuri mpaka anaporudi kulala usiku... [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]ahahahaha kama sio yeye vile
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Cole carba anasema kaimiss ile avatar ya uliyobetia mechi za epl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]