Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mbunye ni kilainishi cha roho, mwili na akili. Falme nyingi zilishaanguka. Vita vingi vilishapiganwa. Koo na falme nyingi hasimu zilishaungana. Mashujaa hodari walishaanguka... sembuse bro wangu mlaini huyu? Hata kapoti siku kakikamatika utafikiri siyo kenyewe japo nadhani kwa jinsi kalivyo kabishi hakatakiri hadharani. Hiyo kitu ndiyo inayoendesha dunia na ndiyo lengo kuu la mwanaume rijali tangu anapoamka asubuhi na kuamua kujisopusopu kwa kuji-groom vizuri mpaka anaporudi kulala usiku... [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ikitokea hapa si watu watajazana sehemu hiyo? Sehemu nyingi kwa wenzetu huko wanakaribia zero (na hata negative) population growth na wanahaha balaa. Japan kule wana shida hiyo na hata nchi za Skandinavia. Tayari wanatoa incentives nyingi sana kwa wazazi (kulipwa pesa, likizo za uzazi, kusaidiwa pesa za kulelea, elimu bure n.k). Inaonekana kwa jinsi jamii inavyoendelea, umuhimu wa kuwa na watoto (wengi) unapungua...
Aaa wapi! Si ajabu hata sasa ni kwisha habari yako zaidi ya bro lakini unajitutumua tu hapa mbele ya kandamnasi. Dalili zote nshaziona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]... Poti mti mkavu huyu Bro, mzizi wake wala hauchimbwi dawa! [emoji1][emoji1]
Safi sana...
Aaa wapi! Si ajabu hata sasa ni kwisha habari yako zaidi ya bro lakini unajitutumua tu hapa mbele ya kandamnasi. Dalili zote nshaziona [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mama yako anaweza kula vinono na wewe ukaendelea kupata vinono pia. Na Gamboshi TV haijawahi kunidanganya hata siku moja ...Siyo kweli kabisa Bro! Hiyo TV ya Gamboshi unayoangalizia inakupa vitu fake! Naapa kuendelea kuwa MGUMU kama chuma ili Mama yangu aendelee kula vinono; siyo anaogea sabuni ya Tshs 200 kama alivyosema Numbisa aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usimtoe bro. Mpaka apunguze dharau na chuki kwa Wasukuma...Mwache akae huko mpaka akili za Kizaramo zimkae sawa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Aiseee
Binti Mpole weweCole carba anasema kaimiss ile avatar ya uliyobetia mechi za epl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]