Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaa!!!Cole carba anasema kaimiss ile avatar ya uliyobetia mechi za epl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro napenda sana hizi briefing ziko powa sana, mimi pia nilikuwa shujua lakini nakili kwa utimamu wangu bila kushinikizwa na yeyote yule nimekubaliMbunye ni kilainishi cha roho, mwili na akili. Falme nyingi zilishaanguka. Vita vingi vilishapiganwa. Koo na falme nyingi hasimu zilishaungana. Mashujaa hodari wengi walishaangamia... sembuse bro wangu mlaini huyu? Hata kapoti siku kakikamatika utafikiri siyo kenyewe japo nadhani kwa jinsi kalivyo kabishi hakatakiri hadharani. Hiyo kitu ndiyo inayoendesha dunia na ndiyo lengo kuu la mwanaume rijali tangu anapoamka asubuhi na kuamua kujisopusopu kwa kuji-groom vizuri mpaka anaporudi kulala usiku... [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ewaaa!!bora kumpa jiran kuliko kiozeAkiombaa nyama umpatie,akiomba juithi umpatiee akiomba ujiiii umpatieee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe bado mbona usiseme ukamaliza[emoji23]ahahahahahaha carba bana mwaka huu sitekwi kha ule mwaka nilipitwa na ubuyu wa ua jeusi
Inabidi tukutane nae Gold Crest na Binti Mpole akiwepo tujadili kama kweli [emoji28][emoji28][emoji28]Aaa wapi! Si ajabu hata sasa ni kwisha habari yako zaidi ya bro lakini unajitutumua tu hapa mbele ya kandamnasi. Dalili zote nshaziona [emoji16][emoji16][emoji16]
Umetimiza jukumu mojawapo muhimu sana la urijali..na jukumu hilo halikwepeki. Hongera sana bro [emoji122][emoji122][emoji122]Bro napenda sana hizi briefing ziko powa sana, mimi pia nilikuwa shujua lakini nakili kwa utimamu wangu bila kushinikizwa na yeyote yule nimekubali
I surrender all to her [emoji4]
Aiseeh[emoji23][emoji23][emoji23]Usimtoe bro. Mpaka apunguze dharau na chuki kwa Wasukuma..Mwache akae huko mpaka akili za Kizaramo zimkae sawa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Poti anafurahisha baraza tu hapa....Inabidi tukutane nae Gold Crest na Binti Mpole akiwepo tujadili kama kweli [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukitolewa kwenye iginoa listi ya Cole, nami naomba unitoe kwenye iginoa listi yako. Usipotolewa na mimi usinitoe. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099] [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kimzigo kimekaa kiaina [emoji16][emoji16][emoji16]