Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mechi za katikati ya wiki Ligi Kuu England (EPL) tumeshuhudia vigogo Chelsea na Manchester City wakila vichapo huku Liverpool na Manchester United zikiambulia sare. Kila mchezo wa ligi hiyo ulionesha kuwa na ushindani na hata vigogo walioshinda walipata ushindi kwa tabu sana. Timu hizo ni pamoja na Arsenal na Totenham.
 
Wajuzi wa hali ya hewa huwa wanaeleza ligi za Ulaya zinapofika hatua hii wakati msimu wa baridi kali inayoambatana na theluji kumwagika kutoka angani wachezaji huwa katika hali ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…