Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye sehemu ya kiungo, ambapo kikosi hicho kitacheza fomesheni ya 4-3-3, kutakuwa na Deni Suarez, Matteo Guendouzi na Lucas Torreira, wakati kwenye fowadi kutakuwa na mastaa watatu balaa zaidi, Alexandre Lacazette, Pierre-Emerick Aubameyang na Henrikh Mkhitaryan.
 
Wachezaji wa huko nyuma wanaopata nafasi kwenye kikosi hicho cha Arsenal kwa sasa ni kipa Petr Cech, Nacho Monreall, Granit Xhaka, Mesut Ozil, Alex Iwobi, Aaron Ramsey, Mustafi, Laurent Koscielny, ambao wamekuwa wakipata nafasi ya kucheza labda kama tu kutakuwa na wamepatwa na majeraha.
 
Kuhusu mastaa wapya, mashabiki hawamkubali sana beki, Lichtsteiner na mara nyingi wamekuwa wakimkosoa kutokana na uchezaji wake. Beki huyo mkongwe alitua Emirates kwa uhamisho wa bure kabisa uliofanywa na kocha Emery alipomnasa kutoka Juventus kwenye dirisha la majira ya kiangazi la mwaka jana. Beki huyo umri wake ni miaka 35 na shabiki mmoja aliwahi kusema:
 
Bado wako hovyoooo
 
Lakini, shabiki mwingine aliongezea hapo, akisema: “Kwa upande wangu, nimepata kushuhudia wachezaji wa hovyo sana kwenye historia ya Arsenal, lakini huyu Stephan Lichtsteiner nadhani ni wa hovyo kwa kiwango cha juu.”
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya bana.
Mimi mahesabu yangu kesho ni siku ya tatu ya Juma la kwanza.

Umeona barua ya embassy yetu ujerumani ikijibu ziara ya TL Dochiwele?
Aisee!!
Nimejifunza kitu, unaweza ukawa unapambania familia yako ili ipate maisha bora, lakini familia hiyo hiyo ikashindwa kuzitambua juhudi zako unazozifanya kwa ajili yao... Ikawa inakudhihaki,wakati huo huo bado inahitaji msaada wako. Ni binadamu wachache sana walio barikiwa uwezo wa KUTAFAKARI.
Samahani nitakuwa nimekujibu kitofauti ila nakujua,umenielewa namaanisha nini.

Bradha... Kuna maisha baada ya ajira...
Binadamu wengi huwa tunatupia macho mbele tuendako mara nyingi zaidi kuliko tuliko toka. Ni bora kutupia macho uliko toka mara nyingi zaidi kuliko uendako,maana ulicho nacho chafaa zaidi kuliko uki tarajiacho.
Twende na likes zetu mkuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…