Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitoka kule unatema mate njia nzima utadhani umekanyaga kinyesi... Ujinga ule Mungu atusamehe tuUsijali sana kiongozi, matajiri wasomi na watu wengine maarufu wamepita kwenye mapito kama hayo.
Kumbuka enzi zile pale kichochoro cha mtaa wa Leo na mtaa wa Bahati TMK tukiwafuata wale wa mama wa kabila lileeeeeeeee....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app