myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😀😀Tuligawana hadi vyumba, ile mimama tipwatipwa kila mtu na wake,kibaya zaidi mchana inakuja kututembelea getto (Rip M. Mayeka),yaani inakuwa aibu tupu...
Yalikuwa ni mapito ya ujana, Mungu anisamahe kwa upuzi ule.
Mi sikuwahi ila nilikuwa na braza machachari kweli (RIP). Usiku utamsikia na marafiki zake wakisimuliana eti "chumba namba sita kuna mpya kaja. Ana mtako balaa halafu anakata mauno ile mbaya. Kesho lazima nikamuonje". Halafu baada ya siku kadhaa utamuona anachemsha lichungu likuuubwa hapo nje. Na wenzake utawaona tu wanakuja kunywa mmoja mmoja. Mama alikuwa anawacheka na kuwakanya sana. Japo nilikuwa mdogo kidogo ila maonyo yale yalikuwa yananiingia sawasawa hata wakati wangu ulipofika sikuwahi kwenda pamoja na ugumu wa mabinti wa Kisukuma enzi zile...Mshukuruni Mungu sana kwa kuwavusha salama kipindi hicho [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Tuligawana hadi vyumba, ile mimama tipwatipwa kila mtu na wake,kibaya zaidi mchana inakuja kututembelea getto (Rip M. Mayeka),yaani inakuwa aibu tupu...
Yalikuwa ni mapito ya ujana, Mungu anisamahe kwa upuzi ule.
Hakika [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mi sikuwahi ila nilikuwa na braza machachari kweli (RIP). Usiku utamsikia na marafiki zake wakisimuliana eti "chumba namba sita kuna mpya kaja. Ana mtako balaa halafu anakata mauno ile mbaya. Kesho lazima nikamuonje". Halafu baada ya siku kadhaa utamuona anachemsha lichungu likuuubwa hapo nje. Na wenzake utawaona tu wanakuja kunywa mmoja mmoja. Mama alikuwa anawacheka na kuwakanya sana. Japo nilikuwa mdogo kidogo ila maonyo yale yalikuwa yananiingia sawasawa hata wakati wangu ulipofika sikuwahi kwenda pamoja na ugumu wa mabinti wa Kisukuma enzi zile...Mshukuruni Mungu sana kwa kuwavusha salama kipindi hicho [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Do you think Drew Brees and co would have done better against the Tom Brady and Belichic duo?
Cc Poti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1012832
Mkuuu[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]Utani wa ngumi huu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuuu[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hakika [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hatimaye kwetu kumekucha salama, Mwenyezi Mungu atujaalie kila hitaji letu tukapate kutimiziwa, akanyooshe mkono wake wa uponyaji kwa wale wote wanaopitia machungu ya mwili na roho, lakini pia akanyooshe mkono wake wa faraja kwa wale wote wapitao kwenye magumu ya ulimwengu. Nasi kwa pamoja tukaifanye siku yetu kuwa ya furaha kwa kutenda yampendezayo Mungu.
Na ikawe hivyo kwetu sote [emoji120][emoji120]
Ila si kwa mainjinia hawa wa TANESCO yetu hawa [emoji16][emoji16][emoji16]Utani wa ngumi huu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Waleko salam (kama sio uharibifu wa lugha ya watu) kwema huko [emoji1][emoji1][emoji1]Salamaleko pale kwa mpigo! [emoji1]