Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inasemekana ni Green City karibu na soko kuu kwa nyuma barabara ya kuelekea Tukuyu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Waleko salam (kama sio uharibifu wa lugha ya watu) kwema huko [emoji1][emoji1][emoji1]
Ingekuwa magereza haya ya kwetu wasingefanya huo upuuzi. Sema magereza yao ni full kujiachia msosi safi na intateinimenti kibao halafu hakuna kazi ngumu...Wazee wengi nchini Japan ndio wanaotekeleza uhalifu wakitaka kwenda jela. uhalifu unaotekelezwa na watu walio na zaidi ya umri wa miaka 65 umekuwa ukiongezeka kwa takriban miaka 20 sasa. Lengo ni kupata makazi ya bure. Hivyo hufanya makosa makusudi ili wakamatwe. Hata hivyo wengine wanaamini upweke ni moja ya sababu inayofanya wazee hao wakimbilie jela.
Poleni kwa kibaridi kikali.Halafu huyu ni wa pili, alianza huyu hapa. Mwanafunzi wa University Of Iowa!
Sad to report that 2018 Alum Gerald Belz passed away last night. Our condolences to the Belz family. Please keep his family in your thoughts during this difficult time
TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]