Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Super bowl bomu hili. Afadhali tu nikalale...
Screenshot_20190203-211542~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii ya leo ni bomu kabisa, kuanzia huo mziki wa Adam Levine mpaka game yenyewe! [emoji1][emoji1]
Wanamuziki wengi kuimba laivu hawawezi; na wengi wala siyo entertainers kivile. Hata Alikiba wangu angetumbuiza vizuri leo. Afadhali hata vimbwanga vya akina Lady Gaga na Beyonce..

Game yenyewe ndo kabisaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlikuwa mnakwenda kujitibu kwa wale akina mama? Nakumbuka vijana kijijini walikuwa wanachemsha jungu kubwa la mitishamba halafu linaachwa nje hapo tu. Ukiona kesho yake mtu anakuja kufakamia basi unajua kuwa amewatembelea akina mama na hali siyo nzuri. Maisha ya hatari sana yale ....
Tuligawana hadi vyumba, ile mimama tipwatipwa kila mtu na wake,kibaya zaidi mchana inakuja kututembelea getto (Rip M. Mayeka),yaani inakuwa aibu tupu...
Yalikuwa ni mapito ya ujana, Mungu anisamahe kwa upuzi ule.
 
Back
Top Bottom