Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlikuwa mnakwenda kujitibu kwa wale akina mama? Nakumbuka vijana kijijini walikuwa wanachemsha jungu kubwa la mitishamba halafu linaachwa nje hapo tu. Ukiona kesho yake mtu anakuja kufakamia basi unajua kuwa amewatembelea akina mama na hali siyo nzuri. Maisha ya hatari sana yale ....
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]zilikua sehemu za kuzoa magonjwa ya ajabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hayo yote ni kwa zile bao 5 za jana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo....Unapigwa leo mtu anakucheka naye unamkumbusha kuwa naye alishawahi kudundwa pia tena zaidi yako. Sijui hii itakusaidiaje kama wewe. Wabongo tuna maisha safi sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
e85dab15-55ad-4ccf-a9f2-74aec503e317.jpeg
 
Panya alimeza dhahabu ya boss wake, ikabidi boss amuite mfanyakazi wake na kumwambia aitafute panya hiyo na kuiua.

Yule mfanyakazi baada ya kufika, aliwakuta panya wengi wamekusanyika sehemu moja isipokuwa panya mmoja alikuwa amejitenga, alikaa zake pembeni.

Basi yule mfanyakazi akamtageti yule yule panya aliyekuwa amejitenga na kumuua, walipo mpasua, kweli waliikuta dhahabu ndani ya tumbo lake.

Yule boss alistaajabu na kumuuliza mfanyakazi wake kuwa umejuaje kuwa panya aliyekuwa amejitenga ndoo alikuwa amemeza dhahabu?

Yule mfanyakazi akajibu akisema "ilikuwa ni rahisi kugundua kwani Sikuzote mtu masikini anapokuwa tajiri ghafla hujitenga na wenzake.
Ujumbe murua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kujaribu kujiliwaza angalau kusahau yaliyopita
Ndiyo....Unapigwa leo mtu anakucheka naye unamkumbusha kuwa naye alishawahi kudundwa pia tena zaidi yako. Sijui hii itakusaidiaje kama wewe. Wabongo tuna maisha safi sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baridi hii inaua. Poti chukua tahadhari ...View attachment 1012675

Halafu huyu ni wa pili, alianza huyu hapa. Mwanafunzi wa University Of Iowa!

Sad to report that 2018 Alum Gerald Belz passed away last night. Our condolences to the Belz family. Please keep his family in your thoughts during this difficult time
 
Ni hatari sana. Vijana wanadhani wako invincible masikini. Wapumzike salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom