Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mnazi mmoja
FB_IMG_1549223955884.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Hatimaye kwetu kumekucha salama, Mwenyezi Mungu atujaalie kila hitaji letu tukapate kutimiziwa, akanyooshe mkono wake wa uponyaji kwa wale wote wanaopitia machungu ya mwili na roho, lakini pia akanyooshe mkono wake wa faraja kwa wale wote wapitao kwenye magumu ya ulimwengu. Nasi kwa pamoja tukaifanye siku yetu kuwa ya furaha kwa kutenda yampendezayo Mungu.
Na ikawe hivyo kwetu sote [emoji120][emoji120]
Ameen
 
Back
Top Bottom