Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Mmmm ..sisi hata miaka unapiga..Aaaa wapi. Inategemea ntu na ntu...
Shida ni ninyi. Hata mwezi hauishi...especially siku hizi. Hovyo kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Mmmm ..sisi hata miaka unapiga..Aaaa wapi. Inategemea ntu na ntu...
Shida ni ninyi. Hata mwezi hauishi...especially siku hizi. Hovyo kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Oooo pulizi. Siyo kizazi hiki cha IG, JF na FB. Nakwambia hata ukipata safari tu ya wiki moja utakuta vijana walishapiga...Mmmm ..sisi hata miaka unapiga..
Hahaha Mchepuko umeovertake
Wavumiliaji tupo banaaa... ingawa wachache😉Oooo pulizi. Siyo kizazi hiki cha IG, JF na FB. Nakwambia hata ukipata safari tu ya wiki moja utakuta vijana walishapiga...
HAKUNA. Nakazia HAKUNA...Wavumiliaji tupo banaaa... ingawa wachache[emoji6]
Atiiii.. Which men?
Dah.. Kumbe sisi wengine ni "Rare Species" eeeh.. safiiiHAKUNA. Nakazia HAKUNA...