Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Good Rules to Live By

•Be Thankful For Everything.
•Be Kind.
•Be Useful.
•Be Strong.
•Be Loving.
•Be Honorable.
•Be Respectful.
•Never Quit.
•Never Fear.
•Refuse To Lose.
•Stay Safe.
•Stay Happy.
•Stay Healthy.
•Stay Faithful.
•Stay Confident.
•Remain Humble.
Kila mtu akifuata hizi rules we will live in a happy and peaceful World
 
Losers are Addicted to :

- Blaming Others
- Gossiping
- Junk Food
- Drama
- ‘Freedom’ arising from Lack of Self Restraint
- Weakness

Winners are Addicted to :

- Learning
- Producing Value
- Physical Health
- Meaning
- Freedom Arising from Self Restraint
- Strength
I am a winner then "Yey"
 
Travel and embrace other cultures
Spend more time with family
Make your dreams happen
Build strong relationships
Keep a positive mind
Focus on your goals
Read great books
Know your worth
Grow spiritually
Love yourself
Make money
Be humble
Be grateful
Be present
Be kind
Pray
I am keeping this for my bucket list.. Especially the tough one on "Focusing on Goals"
 
Hapa tuko poa, ilisemekana ulitekwa na kufichwa kwenye kona za jiji la Mwanza, kwamba ulivuliwa t-shirt na jeans zako na kuvalishwa mashati ya vitenge [emoji16][emoji16][emoji16]naamini uko salama, basi ikiwa hivyo tumshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutukutanisha tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah aiseeee

tupo pamoja ndugu yangu
 
I guess you are the Legend on that

maxresdefault.jpg
 
ICYMI- Tupac Amaru Shakur ,alitangulia mbele ya haki ,September 13 ,1996 amefariki akiwa na umri wa miaka 25 ,alikuwa angali bado kijana mdogo sana mwenye kipawa kikubwa cha kutunga mashairi bora.

September ,26 1994 ,Tupac ,alitoa Album aliyoipa jina la ,"Thug Life" albam hii ilikuwa na jumla ya nyimbo 10 ,album hii ukitaka kuisikiliza yahitaji utumie dakika 42 kusikiliza vyema orodha ya nyimbo zake kumi.

Mwaka 2009 , nchini Marekani ,kijana mweusi aliyeitwa Oscar Grant ,alipigwa risasi na police mzungu na kupoteza maisha.

Angie Thomas ,alikuwa mwanafunzi katika chuo cha Belhaven University,akifanya Masters ya Creative Writing .

Tukio la kupigwa risasi kwa Oscar Grant liliendana sambamba na maudhui ya Album ya Tupac ,"Thug Life " pamoja na Tattoo ya Tupac tumboni iliyoandikwa ,"Thug Life"

Angie Thomas ,kwa kupigwa kwake risasi kwa Grant Oscar kwake ilikuwa ni fursa ,iliyo ambatana na Album ya Tupac "Thug Life " vilimpa wazo la kuandika mpango sanifu wa Masters yake Creative writing na baadaye kuandika kitabu .

Angie Thomas ,aliandika kitabu ,alichokipa jina la ,"The Hate U Give " chenye idadi ya kurasa 464 na nambari ya usajili ISBN 978-0-06-249853-3 na kuzinduliwa rasmi February 28-2017.

October 5,2018, Director George Tillman Jr, aliandaa movie iliyotokana na kitabu cha Angie Thomas alichokipa jina la ,"The Hate U Give".

Katika movies hii muhusika mkuu ,Russell Hornsby,aliyeigiza kama Maverick ,'Mav' Carter na mkewe Regional Hall aliyeigiza kama Lisa Carter.

Maverick ,katika ,"The Hate U Give" ameigiza kama baba bora anayeijali familia yake.

Nilivutiwa zaidi pale familia yake ilipopatwa na matatizo na kuwashusha kwenye gari watoto wake nje ya gari.

Aliwasimamaisha watoto wake watatu ,Starr Carter , Seven Carter na Sekani ,na kuwaambia baba yenu nimewapa majina yenu kwa sababu kila jina limebeba tabia ya mtu.

Starr- ni mwanga kwenye kiza na unatakiwa ungare kwenye kiza na nuru mwanangu.Seven - nilimaanisha ukamilifu na Sekani ni jina lenye maana furaha ,shangwe nataka mubeba maana ya majina katika maisha yenu.

Maverick ,chakuka kilipoandaliwa mezani na mkewe ,alianzisha kukiombea chakula, kisha anampasia mkewe kukiombea chakula na mkewe anampasia binti yake sala ya kukiombea chakula Starr

Starr anampasia kaka yake maombi ya chakula Seven na Seven anampasia mdogo wao wa mwisho maombi ya chakula yanamaliziwa na kitinda mimba.

Album ya ,"Thug Life," imetengeneza kitabu cha "The hate U Give " ambacho kinauzwa US$ 15 ,Kitabu cha The Hate U give kimetengeneza Movie iliyoinginza kiasi cha US$ 32.2 Million,movie imetengeneza post ya bure bila gharama yeyote.
IMG-20190205-WA0010.jpeg
 
Back
Top Bottom