moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Curiosity killed a cat
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbagala kuna Dunga Dunga wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Which cat are we talking about? [emoji16][emoji16][emoji16]Curiosity killed a cat
Andaeitini huyu kwisha habari yake. Kabadilika halafu utafikiri siyo yeye...Hapa tuko poa, ilisemekana ulitekwa na kufichwa kwenye kona za jiji la Mwanza, kwamba ulivuliwa t-shirt na jeans zako na kuvalishwa mashati ya vitenge [emoji16][emoji16][emoji16]naamini uko salama, basi ikiwa hivyo tumshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutukutanisha tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Very sad.. Fikra za binadamu ni hatari sana
Which cat are we talking about? [emoji16][emoji16][emoji16][ /QUOTE]
😁😁😁 "THE CAT"
Tumetoka kwenye walemavu wa ngozi sasa tumehamia huku. Kama jamii bado sana na hizi imani za kishirikina !!!Very sad.. Fikra za binadamu ni hatari sana
kweli....Nope...Utachapiwa tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1014069
We acha tu..Nyinyi ndio kabisa hamvumiliagiNope...Utachapiwa tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1014069
THE CAT [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu mwingine msomi kabisaaaaa.. anaua apate mahela!Tumetoka kwenye walemavu wa ngozi sasa tumehamia huku. Kama jamii bado sana na hizi imani za kishirikina !!!
Aaaa wapi. Inategemea ntu na ntu...We acha tu..Nyinyi ndio kabisa hamvumiliagi
Ndiyo. Hii ni miradi ya wenye uwezo. Na wanasiasa. Ili achaguliwe tena. Au apandishwe cheo...Bado saaaana tena saaana....Halafu mwingine msomi kabisaaaaa.. anaua apate mahela!