Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha bro umenichekesha sana aisee,sema huwa napenda vile vimaneno vyake najikuta natoa sapoti hahahah
Hamna. Wakati mwingine we ndo unaanzishaga kabisa na kenyewe sasa ndo kanaanza kujishebedua...

Haya mambo bana we acha tu. Hata huyu dogo naye juzi juzi hapa kakwama huko anafakamia konokono ya dada zangu Wasuku halafu bado anatuponda dah! Roho iliniuma ila basi tu. Iweje konokono ya washamba ikutie ushamba mpaka uhame kwenu na kukatalia huko kwa washamba? Hovyo kabisa nyie vijana [emoji16][emoji16][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…