Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miezi sita iliyopita wakiwa wanapata kifungua kinywa, alimwambia mama yake kuwa anajipanga kumpandisha kizimbani.
"Amesema hana neno, lakini amenionya kuwa nisifikirie kuwa atanionea huruma mahakamani. Ameniambia ataniangamiza mahakamani. "
Kwasasa bwana huyo anatafuta wakili, lakini inamuwia vigumu.
 
Najua shauri litatupiliwa mbali sababu hakuna jaji atakubali kuisikiliza. Lakini nitaenda tu mahakamani ili niache alama na kufikisha ujumbe."
Ukurasa wake wa Facebook umekuwa ukivuta wengi kutoa maoni yao. Wachache wanamuunga mkono lakini walio wengi wanampinga.
Pia kuna kina mama waliojaa hofu ambao wanamuuliza itakuwaje endapo watoto wao watasoma anachokiandika.
Baadhi ya watu wanamwambia; "nenda kajiue."
 
"Baadhi wanabishana kwa hoja, baadhi wanchukizwa na baadhi wananitusi. Wale wanaonitusi wacha waendelee kunitusi. Pia kuna wengi ambao wanakubaliana na mawazo yangu lakini hawawezi kujitokeza hadharani na kuzungumza. Nawaomba wajitokeze na kupaza sauti zao," amesema.
Wanaompinga pia wanasema anatafuta umaarufu.
 
"Sitafuti umaarufu kwa kweli," amesema na kuongeza, "lakini nataka wazo langu liende kwenye jamii. Ni wazo dogo tu kuwa ni sahihi kutokuwa na watoto."
Na alipoulizwa iwapo hana furaha kwa kuwa amezaliwa; "Natamani nisingezaliwa. Lakini haimaanishi kuwa sina furaha. Maisha yangu ni mazuri, lakini nisingependa kuwepo hapa. Wajua ni kama kuwa na chumba kizuri, lakini sitaki kuwa ndani ya chumba hicho."
 
Hili neno "Nakupenda sana" ama kwa kimombo "I love you" lishapoteza maana siku hizi. Watu wanaweza kukwambia wanakupenda ila nyuma ya pazia wanakusaliti ile mbaya.
.
Wanaweza kukwambia maneno matamu yenye kuupa burudani moyo kama vile, "Nakuhitaji sana", "Wewe ndio kila kitu kwangu" na mengineyo lakini kumbe wanawaambia watu zaidi ya watano maneno hayo hayo.
.
Hivyo, kwangu mimi, naona kabisa haihitajiki kuwa na Mtu anayesema "Nakupenda" halafu ukaridhika na hayo maneno tu. Mtu anaweza kukupenda leo na kesho akakugeuka.
.
Unachohitaji ni Kumwomba Mwenyezi MUNGU akupe mtu MUAMINIFU!. Unachohitaji kutoka kwa Partner wako ni kwamba atakuwa bega kwa bega na wewe, come hell or high water.
.
Kwamba, utakapokabiliwa na kila aina ya vikwazo hatakuacha uhangaike peke yako. Atatunza UAMINIFU na hatukuacha uumie kwa matendo yake.
.
Hii Nakupenda, Nakupenda ni NOTHING. Hakuna kitu hapo.
.
Nipe nafasi, Kati ya 10 ya 10, mimi Nitachagua UAMINIFU zaidi kuliko MAPENZI.
.
Honesty is a very expensive gift, Don't expect it from cheap people. - Warren Buffett alishasema.

#SeeYouAtTheTop
.
Birionea Bee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu, kazi kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo bure, mahakama impime akili kabla haijatoa uamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…