Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Whaat anko?

Daah majaribu sana hayo ulipitia
Saaaanaa tena ya kutisha. Ya kwako cha mtoto...
Niliua bila msaada wa mtu
IMG_20190204_073305.jpeg
IMG_20190204_073244.jpeg
 
Saaaanaa tena ya kutisha. Ya kwako cha mtoto...
Niliua bila msaada wa mtuView attachment 1015842View attachment 1015844
Kwanza kabisa ppngezi ankoo una kigae kizuri pili umenichekesha maana haka kadudu hata sikaogopi nakaona kama wadudu wengine tu watambao labda kwa sababu hakajawah nitishia maumivu yake.

Tatu congratulations maana umevuka mtihan mkubwa,siku nyingine utapambana nako bila wasiwasi
 
Anko bana!! Unanipa pole huku unaniponda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukweli sina amani nae huyo mdudu, nilivyo muua tu nikahamia (sio kwa kuogopa ila kuwalinda) chumbani kwa akina juniyaa hadi anti yako alipo rudi...
 
Hahahahahhaa anko bana hapa nilipo mbavu zinauma. Maana hii sentensi tata,na ukajiwahi kabisaa kwenye mabano
Anko bana!! Unanipa pole huku unaniponda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukweli sina amani nae huyo mdudu, nilivyo muua tu nikahamia (sio kwa kuogopa ila kuwalinda) chumbani kwa akina juniyaa hadi anti yako alipo rudi...
 
Mwili wa marehemu Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa ajili ya uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti. Mtandao wa RadarOnline umethibitisha. Kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya 30 wenye umri mdogo, lakini watatu tayari wamejitokeza kuzungumza, mmoja anaitwa (Wade Robson) alithibitisha kwenye mitandao kuwa MJ alimlawiti toka ana umri wa miaka 7 hadi alipofika 14. Mwingine ni James Safechuck. Mwili wa mfalme huyo wa Pop utafukuliwa ili kupima vipimo vya DNA kwenye mabaki ya sehemu za mwili wake ili kubaini kama kuna ukweli.
 
Back
Top Bottom