Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je, kuhoji kuhusu CHADEMA kutoa majibu ya ripoti ya CAG ni dhambi hapa jamii forums? Inashangaza sana kuwa na jukwaa la ajabu kama hili! Sasa naamini kuwa JAMII FORUMS ni madikteta wa kwanza hapa Tanzania, nyie ni waminyaji wa kwanza wa demokrasia katika mtandao, hamfuati katiba ya nchi yetu wala matakwa ya wateja wenu!

I SWEAR, MSIPOLIREKEBISHA HILI SITOACHA KUSEMA HILI KILA MAHALI.

Hii si mara yangu ya kwanza kuzungumzia udhalim unaofanywa na waendeshaji wa mtandao huu! Ni mara kadhaa nimeweka hapa uzi wakawaida kabisa ambao haujamtusi mtu yoyote wala kuzungumza uongo lakini ukatolewa na kuambiwa kuwa umehamishiwa kwenye thread nyingine! La kustaajabisha ni kuwa waendesha mtandao huu mmekuwa mkiufuta kabisa uzi husika.
View attachment 1015825

Mara ya mwisho kutoa malalamiko yangu kwa kuwa-tag Maxence Melo Fang Active uzi ulirejeshwa lakini katika thread nyingine, lakini tatizo hilo hilo limejirudia tena.
Duh mods wamekuchoka hadi wameutupia uzi huku aiseee
 
Back
Top Bottom