Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anashangaza.
Jamaa anasafiri Duniani kote kwenda kuvua hatimaye anaishia kupiga picha na samaki kisha anamradisha majini [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mchezo unaoingiza mabilioni ya dola kila mwaka. Competitive fishing...

Lisamaki hilo si ajabu limeweka rekodi ya uzito kama kalivulia kwenye kimto na hapo atakuwa kapiga hela ndefu...

Entertainment ndiyo inaendesha dunia na ni hitaji mojawapo kubwa la binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…