Kama ni mwanafamilia unamwacha kama alivyo maana tayari kashafanya hivyo, lakini majuto yakianza ajute kivyake.
Ezi long ezi hujavunja sheria we serebuka kivyako. Maisha menyewe mafupi haya ohoooo !!!Wala hatujamkoromea, hata hao wa IG huwa tunawaona tu na misambwax yao fake.
Sema nini, maisha ni kuchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bi harusi katokelezea mbaya...
Siwadharau wanaume, maana yangu ilikuwa ni kutoridhika kwa wanaume , leo wanapenda nyigu kesho watapenda buibui.Huko mbele ya safari sijui inakuwaje hasa mfumo mzima wa kupumua?
Eti wanaume...unawadharau sana wanaume ama? Mambo mengi anayofanya mwanamke yana lengo la kuwavutia wanaume...kujipodoa. Kujirembesha. Kutikisa kunakotikisikaga.......
Haiuziki? Tunazungumzia nini prof? Uko very deep [emoji16][emoji16][emoji16]
AmeenMungu atupe afya na uzima
Hia yu a [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ameen
Asante na kwako piaIwe siku njema kwetu wooote