Hahaha kigugumizi kama chote
SaluteKutokujiamini nalo ni tatizo aisee, ringia kile ulichonacho sio lazima kila mtu akipende, waache wachache wakipende...Hata kama wachache hao watakosekana atatokea hata mmoja wa kukipenda kwa jinsi kilivyo.
Ulimbukeni tu, wao wanajiona wajanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tena kwa mbavu za mtu mwingine [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Povu kama lote
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbavu tupa kule utafune bata[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ezi long ezi hujavunja sheria we serebuka kivyako. Maisha menyewe mafupi haya ohoooo !!!
Kama unaona mimbavu inakubana kufikia malengo yako itupilia mbali huko [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukiona pua jibapa kama la Maiko Jakisoni, chonga jingine...kula maisha yako as long as huvunji sheria [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbavu tupa kule utafune bata[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wanaume tu, kiasili mwanadamu ni kiumbe asiyetosheka.Siwadharau wanaume, maana yangu ilikuwa ni kutoridhika kwa wanaume , leo wanapenda nyigu kesho watapenda buibui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matatizo yote yanayotokea Dunia huletwa na tamaa za mwanadamu, maana hatoshekiSiwadharau wanaume, maana yangu ilikuwa ni kutoridhika kwa wanaume , leo wanapenda nyigu kesho watapenda buibui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kamanda. Kama hii ishu ya misambwanda. Yaani nilishaona ya kila aina lakini sitosheki dah !!!Matatizo yote yanayotokea Dunia huletwa na tamaa za mwanadamu, maana hatosheki
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehielewa eeeh!?