Birionea Bee
Member
- Jan 19, 2019
- 63
- 120
Umehielewa eeeh!?
Wakora Mulangira [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli kabisaHata misambwanda hurendemka na kupoteza form...hasa hii ya bandia hii huko mbele ya safari sijui itakuwaje...
Ukipata binti loyal na mwenye tabia njema mcha Mungu huyo mshikilie kwa nguvu zote kwa sababu kwa hali ya sasa unaweza usimpate tena in your lifetime.
[emoji120][emoji120]
Kabisa kafanya ujinga mkubwa khaa utumbo na mbavu aiseeKama amefanya upuuzi huo nitamuona boya wa kiwango cha juu.
Pumbavu zake.
Huwezi kuharibu mwili wako kwa furaha ya wanaume wanaopenda kupekua pekua kila aina papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app