Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa kafanya ujinga mkubwa khaa utumbo na mbavu aisee
Kwa mujibu wa madaktari, hii ni operesheni salama kabisa sema tu hatakiwi kunyanyua vitu vizito na wala kufanya mazoezi makali ikiwemo mikiki mikiki mikali kitandani. Otherwise she is OK. Na kama hili ndilo linalompa furaha na ridhiko hapa duniani, hey it is her body and her life [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Na kafanya yote hayo kuvutia wanaume sasa hao atakaowavutia hio mikiki mikiki wataipataje sasa hapo
 
MICHEZO: RASHFORD MWANASOKA BORA JANUARI, OLE GUNNAR KOCHA BORA > Chama cha soka nchini Uingereza, kimemtangaza Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford kuwa mchezaji bora wa mwezi Januari - Kocha wa timu hiyo, Ole Gunnar Solskjær kuwa kocha bora wa mwezi huo - Hii ni mara ya kwanza kwa kocha wa Manchester United kushida tuzo hiyo tangu kustaafu kwa Sir. Alexander Ferguson mwaka 2013
 
Ila kweli haya mambo ni magumu. Huyu binti sasa ukimuona huwezi kuamini. Kaolewa kazaa amejiachia yaani shepu yote kwisha huwezi jua kiuno kinapoishia. Na msambwanda wote kwishnei hauonekani. Jamaa wamemfungulia akaunti ya GoFund Me arudi Gym na ikibidi afanye opresheni ya kupunguza mafuta ya tumbo ili arudie form yake ya zamani. Yeye na mumewe wako ready. Ngoja tuone kama ataweza kurudi kwenye hii fomu ya usichana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nani huyu mkuu? 😳

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]punguza tamaa ya misambwanda kamanda
Ni kweli kamanda. Kama hii ishu ya misambwanda. Yaani nilishaona ya kila aina lakini sitosheki dah !!!

Sijui mwisho wake itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Yule mzungu aliyejibadili kuwa mwafrika mjinga sana khaa

Binadamu tamaa zimetuzidia
Kawa mweusi tiiiii...Melanin poppin' [emoji16][emoji16][emoji16]

Binadamu hatuwezekani. Hapa ninapokaa kuna mama ana kabinti kana miaka kama 14 hivi. Sasa siku za hivi karibuni nilikaona kameanza kubadilika sana nikawa nashangaa. Nimekuja kugundua kumbe kameamua kuwa kavulana. Kalikuwa na vimatiti vimeisha, sauti imeanza kubadilika na mwonekano wa kichekibobu kabisa. Mwezi wa tisa wanakwenda kufumua konokono na kuweka saksafoni - operesheni mojawapo ghali na tata kabisa. Sasa mtu unabaki unajiuliza why? Jibu unalopewa na mzazi ni kwamba I want my daughter to be happy. Basi mtu unatikisa kichwa tu na kuyaacha kama yalivyo...Binadamu !!!
 
Duh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…