Utandawazi bana una faida na hasara moja wapo ni hii. Kabisaa hao wazazi wana haki kha li mtu na fenesi lake aingie pasipo husika lazima kutatokea jamboShida hasa ipo kwa wavulana wanaojibadilisha kuwa wasichana na bado hawajafanya operesheni ya kuondoa mijulubeng. Nao wanataka watumie vyoo vya wasichana mpaka huko high school. Wazazi hawataki kabisa kwa sababu wanaamini kuwa mabinti wanaweza kuishia kubakwa na hawa wasichana koko. Kesi zimerindima katika majimbo mengi kila upande ukipambana. Hawa koko wanalalamika kuwa wanaonewa na kubaguliwa na wengine nao wanadai kuwa haki yao ya kuwa na faragha inavunjwa ali mradi vurugu tupu...
Ushoga na haya mambo vinalazimishwa kwa nguvu sana sijui kwa nini. Huwezi kuona muvi au show kwa sasa usiwe na wahusika mashoga au hawa matransgender. Hata show za watoto na vikatuni. Hata sijui tunakoelekea kwa kweli.Utandawazi bana una faida na hasara moja wapo ni hii. Kabisaa hao wazazi wana haki kha li mtu na fenesi lake aingie pasipo husika lazima kutatokea jambo
Asante bro. Unafiki kwangu mwiko. Liwalo na liwe [emoji16][emoji16][emoji16]Hili jibu ndio nilikuwa nalisubiria bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Boring sana atleast kwa wakorea wanajitahidi kuepuka haya mambo kwenye movies zao ila kwa wazungu wahindi ni shiida. Kuna uzi humu unaelezea utamaduni wa wahind flan huko india wanachaguliwa wakiwa watoto wanakatwa fenesi zao na kuvalishwa kama wanawake wakikua ruksa kutumika kama mashogaUshoga na haya mambo vinalazimishwa kwa nguvu sana sijui kwa nini. Huwezi kuona muvi au show kwa sasa usiwe na wahusika mashoga au hawa matransgender. Hata show za watoto na vikatuni. Hata sijui tunakoelekea kwa kweli.