City imewahi kuwa katika hali hiyo na wakafanikiwa, wametwaa ligi mara kadhaa katika miaka michache iliyopita, Liverpool inakaribia miaka 30 tangu ilipochukua taji kwa mara ya mwisho. Wana kigingi cha kuchukua ubingwa. Wanaweza kufanikiwa? Labda ni kujiamini. Kocha wao amewahi kufanikiwa kubeba taji Ujerumani lakini sio na wachezaji hawa. Liverpool wana wasiwasi fulani hivi lakini City ya Pep inacheza tu,”