Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawana hamu ya kula
Watafiti walipowapatia mbu mchanganyiko wa maji yaliyo na dawa hiyo walishangazwa kuona kuwa mbu hao walishindwa kula baada ya kutumia maji hayo.
Ili kubaini ikiwa mfumo huo wa tiba unaweza kufanya kazi, walitundika mfuko iliyokuwa na harufu ya mwili wa binadamu karibu na mmoja wao ilikuchunguza ni nini kinachowafanya kupoteza hamu ya kula.
 
Uvumbuzi huu utawasaidia wanasayansi kubaini kilipo kiungo hicho kwenye mwili wa mbu ili wabuni njia ya kukifanyisha kazi na kudhibiti shughuli zake.
'Twaishiwa na maarifa'
Watafiti wanasema matokeo yao yatakuwa na athari kwa tafiti zijazo.
"Tumeanza kuishiwa na maarifa ya jinsi ya kukabiliana na wadudu wanaosambaza magonjwa, na hii ndio njia mpya kabisa ya kuwadhibiti,"anasema mmoja wa watafiti hao, Leslie Vosshall, kutoka chuo kikuu cha Rockefeller.
 
Dawa ya wadudu zimeshindwa kufanya kazi kwasababu mbu wamezizoea, na sisi bado hatujapata chanjo ambayo inakinga magongwa yanayosambazwa na mbu."
Bi Duvall amesema wazo la kujikita katika lishe ya ambu itazaa matunda kwasababu wanahitaji kula ili kuishi.
 
.
FB_IMG_1549804485579.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha aisee nmecheka sana, Esta huwa hatabiriki
Ndiyo Esta huyo. Anakupa za uso halafu anasepa kama vile hakuna kilichotokea. Bahati yake hakutokea Gold Crest siku ile. Kwa hakika ningelipiza kisasi safi sana siku ile indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom