Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sergio Aguero alikuwa shujaa wa kufunga hat-trick kwa mara nyengine tena huku akiisaidia Man City kurudi kileleni mwa ligi kwa kuicharaza Chelsea 6 bila jibu.
Ushindi huo wa Liverpool dhidi ya Bournemouth unamaanisha kwamba kikosi cha Pep Guardiola kilihitaji ushindi kurudi katika kilele cha jedwali licha ya kucheza mechi moja zaidi.
Na kazi yao ilionekana baada ya kuicharaza Chelsea mabao manne chini ya kipindi cha dakika 24 huku Chelsea ikiwachwa mdomo wazi katika kile kilichotajwa kuwa kichapo kibaya zaidi tangu walipopoteza 7-0 dhidi ya Nottingham Forest mnamo mwezi Aprili 1991.
 
Kichapo hicho kilianza baada ya dakika nne wakati Chelsea walipopatikana wamezubaa baada ya mkwaju wa adhabu wa Kevin De Bruyne uliomuacha Raheem Sterling akiwa pekee na kucheka na wavu kabla ya Aguero ambaye tayari alikua amekosa bao la wazi kumfunga kipa Kepa Arrizabalaga akiwa maguu 25.
Aibu ya Chelsea iliendelea pale Ross Barkley alipopiga kichwa kilichomuangukia Aguero kabla ya raia huyo wa Argentina kufunga bao lake la pili.
 
Baadaye Ilkay Gundogan alifunga bao la tatu.
Aguerro baadaye alikamilisha hat-trick yake ya 11 kupitia bao la penalti baada ya Cesar Azpilicueta kumchezea visivyo Raheem Sterling, ikiwa ni hat-trick yake ya 15 akiichezea City na kufikia rekodi ya hat-trick 11 katika ligi ya Uingereza heshima anayopewa pomoja naAlan Shearer.
Sterling baadaye alizidi kudunga msumari katika kidonda cha Chelsea alipofunga goli la sita kutoka maguu sita baada ya David Silva kutoa pasi iliopigwa na Oleksandr Zinchenko wingi ya kushoto.
 
Jibu la Man City
Iwapo Liverpool ilijibu maswali kupitia ushindi wao dhidi ya Bournemouth, jibu la City hapa na wiki iliopita ni la kiwango cha juu.
Mabingwa watetezi wa Pep Guardiola walikabiliwa na wiki ya kushangazwa baada ya kufungwa na Newcastle huku wakisubiri michuano ya nyumbani kati ya Arsenal na Chelsea na mechi ya ugenini dhidi ya Everton.
City ilijnasua katika hatari hiyo kwa kuilaza Arsenal , kushinda Everton na kuicharaza Chelsea.
 
Wanawake nchini Hungary wenye watoto wanne na zaidi watasamehewa kulipa kodi ya mapato maishani mwao.
Waziri mkuu wa nchi hiyo Viktor Orban ameyasema hayo wakati akizindua mipango iliyobuniwa kwa ajili ya kuongeza idadi ya watoto wanaozaliwa.
Amesema hiyo ni njia ya kulinda mustakabali wa Hungary bila ya kutegemea Wahamiaji.
Katika hatua hizo zinazochukuliwa pia, wanandoa vijana watakuwa wanapewa mkopo usio na roba wa dola elfu 26, ambao utafutwa watakapofikisha watoto watatu.
 
Wanasiasa wa mrengo wa kulia nchini humo wamekuwa wakipinga uhamiaji unaofanywa na Waislamu.
Idadi ya watu nchini Hungary imekuwa ikipungua kwa elfu 32 kwa mwaka na wanawake nchini humo wana watoto wachache kushinda wastani wa Umoja wa Ulaya.Waziri mkuu huyo wa Hungury amesema kwa nchi za magharibi jibu la kupungua kwa watoto wanaozaliwa kwa Ulaya ni Wahamiaji. ''...kwa kila mtoto anayepungua lazima mwengine aje, halafu idadi itakuwa sawa...Watu wa Hungary wanafikiri tofauti, hatuhitaji idadi tunataka watoto wa Hungary...'' alisema.
 
Waziri Mkuu huyo wa Hungary amekuwa akichukua hatua kali dhidi ya wahamiaji, hali ambayo mara kwa matra imefanya kutofautiana na wenzake wa Ulaya.
Ufaransa ni nchi inayoongoza kwa mwanamke kuzaa watoto wengi nchi za Umoja wa Ulaya kwa wastani wa 1.96 huku Hispania ikiwa na kiwango cha chini kabisa cha 1.33.
Niger nchi iliyoko Afrika magharibi ndiyo inayoongoza kwa mwananmke kuzaa watoto wengi duniani kwa watoto 7.24 kwa mwanamke mmoja.
 
Life cycle [emoji23]
20190211_085255.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimetimiza mwaka tangu kujiunga kwangu JF..
Kama ingekuwa ndoa basi ningekuwa na mtoto wa miezi miwili (2)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kwa hisani ya watu wa Marekani.View attachment 1019527

Sent using Jamii Forums mobile app
Kongaratyuleisheni [emoji122][emoji122][emoji122]

Kuna faida au hasara yo yote uliyoipata kwa kujiunga kwako JF? (Asking for a friend [emoji16][emoji16][emoji16])
 
Kongaratyuleisheni [emoji122][emoji122][emoji122]

Kuna faida au hasara yo yote uliyoipata kwa kujiunga kwako JF? (Asking for a friend [emoji16][emoji16][emoji16])

.......[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 1019535
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unalipenda hilo jibu langu eeeh!!!!!??

Faida: Nimejipatia "rafiki" + marafiki.

Hakuna hasara yoyote niliyoipata.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom