😂😂😂😂Sema ni ya kwako bhana tupige mpunga sisi hahaa
Ndiyo Esta huyo. Anakupa za uso halafu anasepa kama vile hakuna kilichotokea. Bahati yake hakutokea Gold Crest siku ile. Kwa hakika ningelipiza kisasi safi sana siku ile indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha aisee nmecheka sana, Esta huwa hatabiriki