Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nakwambia tumetoka mbali. Wakati ule mkali hachati na mtu eti kuchati kunampotezea muda wa kula likes. Nilikuwa namwogopa balaa. Rolo modo [emoji16][emoji16][emoji16]Dahh! Picha hii inanikumbusha kipindi binti mpole haamliki akiliazisha[emoji23][emoji23][emoji23]